1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

06.12.2016 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S6 Desemba 2016

Kesi ya Dominic Ongwen, aliyefanya mauaji kwa niaba ya kundi la waasi wa Uganda la Lords resistance Army LRA itaanza kusikilizwa leo katika mahakama ya kimataifa inayopambana na uhalifu wa kivita ICC mjini The Hague// Jeshi la Iraq linapambana kulifukuza kundi linalojiita Dola la Kiislamu -IS, kutoka mji wa Mosul Kaskazini mwa nchi hiyo.

https://p.dw.com/p/2Tnip