1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

06.11.2019 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S6 Novemba 2019

Mkutano uliojadili swala la Uhamiaji kwa kuzingatia mtazamo wa kiafrika umefanyika wiki hii mjini Berlin, Ujerumani// Mwezi Agosti mwaka huu, rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa aliidhinisha sheria mpya, yenye azma ya kuwalinda wakopaji wadogo, ambao wanapata tabu kulipa mikopo wanayoichukua kutoka taasisi za fedha.

https://p.dw.com/p/3SXKw