06.10.2017 Matangazo ya asubuhi | Habari za Ulimwengu | DW | 06.10.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

06.10.2017 Matangazo ya asubuhi

Mshindi wa tuzo ya Amani ya Nobel mwaka wa 2017 anatarajiwa kutangazwa hii leo// Baada ya mihula miwili madarakani,rais wa Liberia, Ellen Johnson Sirleaf atakaabidhi madaraka mwaka 2018// Wakaazi asilia wanaokabiliwa na kitisho kutoka kwa makampuni yanayotaka kuendeleza ardhi zao kwa ajili ya miradi ya kilimo, uchimbaji madini na nishati, watasaidiwa kifedha na kivitendo.

Sikiliza sauti 51:59
Sasa moja kwa moja
dakika (0)