1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

06.04.2021 - Matangazo ya Asubuhi

6 Aprili 2021

Familia ya kifalme ya Jordan imetangaza kumalizika kwa mvutano kati ya mfalme wa nchi hiyo na kaka yake. Utawala wa kijeshi Myanmar umetangaza kuwasaka watu maarufu wanaoshiriki kupinga mapinduzi. Zaidi ya wafungwa 1,800 watoroka kutoka jela moja nchini Nigeria.

https://p.dw.com/p/3rbo3