06.02.2021 - Matangazo ya Jioni | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 06.02.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

06.02.2021 - Matangazo ya Jioni

Maelfu ya raia wa Myanmar wameandama leo kupinga mapinduzi ya kijeshi. Rais wa Afrika Kusini ametoa wito kwa Afrika kupatia mikopo yenye masharti nafuu. Kansela Angela Merkel amelisifu vuguvugu la kudai demokrasia nchini Belarus.

Sikiliza sauti 60:00