1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

06.02.2018 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S5 Februari 2018

Afrika Kusini: ANC kinakutana kumjadili rais Zuma/ Kenya: Mahakama kuu imemuamuru Inspekta mkuu wa polisi na mkurugenzi wa idara ya upelelezi kufika mahakamani kesho asubuhi akiandamana na mwanasiasa wa upinzani Miguna Miguna ambaye bado hajulikani aliko/ Afisa mmoja wa marekani mashuhuri anayefanya uchunguzi kuhusu biashara haramu ya pembe za ndovu na faru ameuwawa

https://p.dw.com/p/2sA4m