1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

06.01.2022 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S6 Januari 2022

Utawala wa Biden na washirika wake wa Ulaya wanaanza mfululizo wa mikutano yenye lengo la kuionyesha Urusi kwamba uvamizi wowote dhidi ya Ukraine utakabiliwa na majibu ya nguvu+++Tawala za kurithishana si jambo jipya+++ Baada ya kuondoa hofu ya kuahirishwa kutokana na janga la Covid, mashindano ya kombe la Afrika hivi sasa yanakabiliwa na wasiwasi mkubwa wa kiusalama.

https://p.dw.com/p/45Cma