1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

06.01.2019- Matangazo ya Jioni Saa 12:00 (Afrika Mashariki)

SK2 / S02S6 Januari 2019

Mshauri wa masuala ya usalama wa Marekani John Bolton ameitaka Uturuki kutowashambulia Wakurdi baada ya Marekani kuondoa majeshi yake Syria.// Tume inayosimamia uchaguzi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeahirisha kutangaza matokeo ya awali kwa muda wa wiki moja. //Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May asema Uingereza itakuwa kwenye njia panda, mpango wake wa Brexit, usipopitishwa.

https://p.dw.com/p/3B6On