Rais wa FIFA Sepp Blatter asema shirikisho hilo la dimba duniani halitokubali kukosolewa kwa kuzichagua Urusi na Qatar kuandaa kombe la dunia
Tunisia imefanya mkutano wa kwanza wa ushauri na viongozi wa Algeria na Libya kwa matumaini ya kuanzisha muungano mpya wa eneo la Maghreb.
Mahakama ya Haki barani Ulaya - ECHR imethibitisha kuwa itatathmini rufaa iliyowasilishwa na bingwa mara mbili wa Olimpiki Caster Semenya.
Wakuu wa mashirika ya Umoja wa Mataifa yanayoshugulikia wakimbizi na haki za binadamu wameitolea mwito Uingereza wa kutafakari upya juu ya sheria yake ya kuwapeleka waomba hiafdhi nchini Rwanda.