05.11.2019 Matangazo ya Mchana | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 05.11.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

05.11.2019 Matangazo ya Mchana

Iran imetangaza kukiuka makubaliano ya mkataba wa nyuklia/ Marekani kujiondoa rasmi makubaliano ya tabia nchi ya Paris/ Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania anatimiza miaka 4 tangu aingie madarakani/ Wakati Jumuiya ya Afrika Mashariki ikiadhimisha miaka 20 tangu kuanzishwa kwake, majeshi ya kanda pamoja na vyombo vya usalama yanazidi kujenga ushirikiano katika masuala ya usalama

Sikiliza sauti 60:00