05.10.2017 Matangazo ya mchana | Mada zote | DW | 05.10.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

05.10.2017 Matangazo ya mchana

Serikali ya Uhispania imekataa miito ya mazungumzo kati yake na mamlaka ya jimbo la Catalonia// Mataifa ya Ulaya yanawarejesha nyumbani raia wengi wa Afghanistan wanaoomba hifadhi kwenye nchi hizo// Aliyekuwa mchezaji nyota wa Timu ya taifa ya Zanzibar na Tanzania Abdul Majham, amefariki dunia.

Sikiliza sauti 59:59
Sasa moja kwa moja
dakika (0)