05.09.2020 Matangazo ya Mchana | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 05.09.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

05.09.2020 Matangazo ya Mchana

Wizara ya Ulinzi ya Uturuki imesema jeshi la nchi hiyo kesho litafanya mazoezi ya kijeshi katika eneo la Pwani ya Cyprus, pamoja na kugubikwa na mvutano unaondelea kati yake na Ugiriki kuhusu eneo la bahari linalozozaniwa la mashariki mwa bahari ya Mediterenia na jitihada za kimataifa za upatanishi.

Sikiliza sauti 60:00