05.09.2018 Matangazo ya Jioni | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 05.09.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

05.09.2018 Matangazo ya Jioni

Wachunguzi wa Umoja wa Mataifa wanaonya kuwa uhalifu dhidi ya binadamu na matukio mengine ya ukiukaji wa haki za binadamu yanaendelea Burundi bila ya kuzuiwa, wakimlaumu Rais Pierre Nkurunziza kwa kuchangia katika maovu hayo kupitia matamshi yake ya chuki na ghasia.

Sikiliza sauti 60:00