1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

05.07.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S5 Julai 2021

Tanzania yakamilisha miongozo ya utoaji chanjo/ Kenya: Mudavadi anapendekeza itumike njia tofauti kupitisha baadhi ya mapendekezo yaliyomo kwenye mswada wa ripoti ya maridhiano, BBI, yawe sheria/ Zuma apuuza agizo la kujisalimisha kwa polisi/ Waasi wa Tigray wakubali kusitisha mapigano kwa masharti/ Wadukuzi wadai dola milioni 70 kurudisha data

https://p.dw.com/p/3w2v3