1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

05.05.2026 Taarifa ya Habari ya Asubuhi

Josephat Charo
5 Mei 2026

Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz aitaka Iran kurudi kwenye mazungumzo baada ya mashambulizi dhidi ya Umoja wa Falme za Kiarabu. Hezbollah yasema wapiganaji walipambana na wanajeshi wa Israel kusini mwa Lebanon. Na rais wa Kenya William Ruto anatarajiwa leo kulihutubia bunge la Tanzania mjini Dodoma.

https://p.dw.com/p/5DH9L
Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Symbolbild Weltwirtschaft Global Economy Globalisierung
Picha: Kheng Ho Toh/PantherMedia/imago images

Asubuhi: Taarifa ya Habari, saa 12:00 (Afrika Mashariki)

Pata Taarifa ya Habari ya Asubuhi, saa 12:00 (Afrika Mashariki)