1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

05.04.2018 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S5 Aprili 2018

Uturuki, Iran na Urusi zimeahidi kuongeza juhudi kuleta uthabiti nchini Syria, zikisisitiza kujitolea kwao kwa taifa hilo linalokabiliwa na mzozo// Mahakama ya Juu ya Brazil imetupilia mbali ombi la rais wa zamani wa nchi hiyo, Luiz Inacio Lula da Silva la kuchelewesha hukumu yake ya miaka 12 gerezani baada ya kupatikana na hatia ya rushwa.

https://p.dw.com/p/2vXWt