1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

05.01.2021 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S5 Januari 2021

Licha ya kuwa Uganda ilirasmisha mfumo wa demokrasia ya siasa za vyama vingi katika katiba yake, idadi kubwa ya wagombea huru katika uchaguzi inadhihirisha kuwa bado kuna mapungufu katika kufanikisha mfumo huo/ Barua kutoka Dar/ Mazungumzo mapya ya amani kati ya serikali ya Afghanistan na kundi la Taliban yatarajiwa kuanza tena hii leo nchini Qatar

https://p.dw.com/p/3nW5e