1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

04.12.2020 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S4 Desemba 2020

Rais Mteule Joe Biden amesema atawaomba Wamarekani kuvaa barakoa kwa hiyari kwa siku 100, lengo likiwa ni kupunguza kasi ya maambukizi ya virusi vya corona// Kamishna wa Umoja wa Ulaya kuhusu usimamizi wa migogoro ameitolea mwito serikali ya Ethiopia kurudisha mawasiliano katika jimbo la Tigray// Bei ya chakula ulimwenguni imepanda katikati ya janga la COVID.

https://p.dw.com/p/3mDoe