04.12.2019 Matangazo ya Mchana | Media Center | DW | 04.12.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

04.12.2019 Matangazo ya Mchana

Uganda: Rais Museveni ameongoza maandamano dhidi ya ufisadi nchini mwake/ Tanzania: Waziri Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye ametangaza kujiondoa katika chama cha upinzani Chadema/ Mkutano wa NATO wazongwa na mivutano/ Kitisho cha kuzidi kuenea Malaria barani Africa/ COP25: Zaidi watu milioni 50 watalazimika kuyakimbia makaazi yao kila mwaka kufikia mwishoni mwa karne hii

Sikiliza sauti 60:00