04.12.2019 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 04.12.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

04.12.2019 Matangazo ya Jioni

Je, hatua ya Frederick Sumaye kujiondoa katika chama cha upinzani Chadema ina maana gani katika siasa za upinzani Tanzania?> Mahojiano/ Mombasa: Wanaharakati wa mazingira na watetezi wa haki za binadamu wameungana kuzidisha msukumo wa kuupinga mradi wa kutengeneza umeme kwa makaa ya mawe katika kaunti ya Lamu/ Wabunge wa Marekani waataanza kujadili iwapo watayarishe mashataka dhidi ya raisTrump

Sikiliza sauti 60:00