04.08.2020 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 03.08.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

04.08.2020 Matangazo ya Jioni

Mji wa Dar es Salaam wapata mkuu mpya, Aboubakar Kunenge/ DRC: Juhudi za kusaka utulivu wa Kivu Kaskazini zaendelea/ Kenya: Wafanyibiashara wa miraa wameilaumu serikali ya jimbo lililojitenga la Puntland nchini Somalia kwa kuirejesha ndege iliyokuwa imebeba bidhaa hiyo kwa madai ya kukiuka masharti ya kukabiliana na ugonjwa wa Covid-19/ WHO yautaka ulimwengu kupambana vikali na COVID-19

Sikiliza sauti 59:59