1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

04.08.2020 Matangazo ya Asubuhi

TATU KAREMA4 Agosti 2020

Tanzania: Chadema leo kinafikia hatua yake ya mwisho ya kupitisha jina la mgombea wa urais katika uchaguzi mkuu/ Zimbabwe: Sekta ya matibabu ya umma inakabiliwa na tishio la kusambaratika/ Kenya: Shughuli ya kuzoa na kutupa taka imepata nguvu baada ya uongozi wa kaunti ya Nairobi na viunga vyake kupata mashine mpya ya kupima uzito wa malori

https://p.dw.com/p/3gNaA