04.08.2017 Matangazo ya Mchana | Habari za Ulimwengu | DW | 04.08.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

04.08.2017 Matangazo ya Mchana

Wanyarwanda wanaendelea kumiminika katika vituo vya kupigia kura hii leo ili kumchagua rais wao kwa miaka mingine saba// Nchini Kenya kampeni za uchaguzi zinakamilika rasmi kesho Jumamosi zitakaposalia saa 48 kabla raia kupiga kura hapo Jumanne// Tanzania- Habari kutoka jijini Dar es Salaam zinasema kuwa Mahakama Kuu imetupilia mbali zuio la wabunge wanane wa kuteuliwa wa Chama cha Wananchi, CUF.

Sikiliza sauti 60:00