1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

04.07.2017 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S14 Julai 2017

Kumesalia takriban wiki nne kabla ya wakenya kumiminika kwenye vituo vya kupiga kura kuwachagua viongozi wao// Asasi za kiraia ncini Uganda zimeapa kupinga vikali shinikizo la kampuni moja ya Marekani kulitaka taifa hilo, Tanzania na Rwanda kuvunjilia mbali mpango ya kupiga marufuku uagizaji na biashara ya nguo kuukuu maarufu kama mitumba.

https://p.dw.com/p/2gWBf