04.04.2021 Matangazo ya Asubuhi | Media Center | DW | 05.05.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

04.04.2021 Matangazo ya Asubuhi

Leo nii imeingia siku ya tatu tangu mawaziri wa mambo ya kigeni wa kundi la G7 kuanza kukutana/ Kauli ya rais Kagame wa Rwanda kuwa Uganda bado ni tishio kwa nchi yake yameibua maoni mseto miongoni mwa Waganda/ Hali ya kisiasa nchini Lebanon/ Watoto wa kuradaranda barabarani na kuishi katika majaa na fuoni mwa bahari,maarufu Chokoraa, ni jamii ambayo wanakosa haki zote za kimisngi za binadamu

Sikiliza sauti 52:00