1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

04.04.2020 - Taarifa ya Habari za Asubuhi

V2 / S12S4 Aprili 2020

Idadi ya watu walioambukizwa virusi vya corona inaendelea kupanda kwenye mataifa duniani. Shirka la Fedha la kimataifa limesema janga la corona litakuwa na athari mbaya kwa uchumi wa dunia. Chama cha Labour nchini Uingereza kitafanya uchaguzi wa kumpata kiongozi mpya

https://p.dw.com/p/3aRgd