1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

04.03.2019 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S4 Machi 2019

Tanzania: Magufuli leo amewaapisha mawaziri wake wawili kutokana na mabadiliko madogo aliyoyafanya jana/ Tanzania: Leo mwili wa aliyekuwa mkurugenzi wa uzalishaji na vipindi wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba, hatimaye utapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele kijijini kwao mkoani Kagera/ Polisi wapambana na waandamanaji nchini Algeria/ Kenya: Mvutano wa kisiasa ndani ya chama cha upinzani ODM

https://p.dw.com/p/3EPbS