03.12.2021 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 03.12.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

03.12.2021 Matangazo ya Jioni

Ukraine imesema inakataa juhudi zozote kufuta mipango yake ya kujunga na jumuiya ya kujihami ya NATO pamoja na hakikisho lolote+++Taliban watoa amri ya kuheshimu haki za wanawake +++Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Uganda zimezindua ujenzi wa barabara katika mkoa wa kivu Kaskazini+++Mtoto wa Ghaddafi, Seif Al Islam kuwania urais wa Libya.

Sikiliza sauti 60:00