03.12.2019 Matangazo ya Jioni | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 03.12.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

03.12.2019 Matangazo ya Jioni

Mahojiano kuhusu ripoti ya Amnesty International iliyosema kwamba serikali ya Tanzania imewapokonya raia na mashirika yasiyo ya kiserikali haki ya kufungua kesi kuhusu haki za binaadamu/ Jeshi la Congo latangaza matokeo ya vita dhidi ya waasi wa ADF/ Mvua yasababisha mafuriko, Kenya/ COP25: Joto kali kuathiri zaidi afya ya binaadamu/ NATO yaadhimisha miaka 70 ikiwa kwenye mizozo

Sikiliza sauti 60:00