1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

03.10.2020 - Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S3 Oktoba 2020

Ujerumani inaadhimisha miaka 30 tangu kuungana tena kwa upande wa mashariki na magharibi. Armenia imesema Azerbaijan imeanzisha mashambulizi makali kwenye jimbo la Nagorno Karabakh. Serikali ya Sudan na waasi wanatarajiwa kutia saini mkataba wa amani.

https://p.dw.com/p/3jNbs