03.09.2020 Matangazo ya Asubuhi | Media Center | DW | 03.09.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

03.09.2020 Matangazo ya Asubuhi

Familia na watu wa karibu wa mpinzani wa Rwanda Paul Rusesabagina, anaeshikiliwa tangu siku Jumatatu mjini Kigali,wanasema alitekwa nyara mjini Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu// Baada ya mwaka mzima wa kupapasa gizani akitafuta ujumbe wa kuendeshea kampeni yake, hatimaye Rais Donald Trump amepata kaulimbiu ya ''Utulivu na Kutii Sheria''.

Sikiliza sauti 51:59