03.07.2020 Matangazo Ya Asubuhi | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 03.07.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

03.07.2020 Matangazo Ya Asubuhi

Tanzania ina matumaini mapya ya kufufua biashara ya utalii baada ya kuyumba vibaya kutokana na janga la virusi vya corona// Israel huenda ikaanza kutekeleza mpango wake wenye utata wa kunyakua baadhi ya maeneo ya ukingo wa magharibi na kuyatangaza kama sehemu yake

Sikiliza sauti 51:59