1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

03.06.2021 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi

3 Juni 2021

Wanasiasa wa upinzani nchini Israel wamefikia makubaliano ya kuunda serikali ya mseto. Wanadiplomasia wa Ulaya wasema mazungumzo kuhusu mradi wa nyuklia wa Iran yamepiga hatua. Mwanasiasa wa upinzani nchini Nicaragua amewekwa kwenye kizuizi cha nyumbani.

https://p.dw.com/p/3uNLU