Viongozi wa upinzani nchini Israel wametangaza kufikia makubalino ya kuunda serikali mpya ya mseto+++Wanadiplomasia wa Ulaya wamesema mazungumzo ya hivi karibuni juu ya mpango wa nyuklia wa Iran yamepiga hatua+++Mawaziri wa Afya wa kundi la mataifa tajiri la G7 wanakutana Alhamisi mjini Oxford kuzungumzia chanjo za COVID-19+++