1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

03.06.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S3 Juni 2020

Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chadema kimeanzisha rasmi mbio za kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba kikiwataka wanachama wake wenye nia hiyo kuanza kujitokeza/ Ujerumani kuruhusu kusafiri katika nchi 26 ndani ya Ulaya kuanzia Juni 15/ Suala la waandishi wa DW kutiwa nguvuni au kukabiliwa na maafisa wa polisi ni jambo ambalo limezoeleka katika mataifa tofauti ya Afrika.

https://p.dw.com/p/3dDCw