03.03.2021 Matangazo ya Mchana | Media Center | DW | 03.03.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

03.03.2021 Matangazo ya Mchana

Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani pamoja na jeshi la Iraq wamethibitisha kwamba kituo cha kijeshi kinachotumiwa na muungano huo kimeshambuliwa kwa makombora yapatayo kumi upande wa magharibi mwa Iraq hivi leo// Kanisa Katoliki nchini Tanzania limesema mapadre wake wapatao 25 wamefariki dunia katika kipindi cha miezi miwili iliyopo// Kenya yapokea chanjo ya corona.

Sikiliza sauti 60:00