1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

03.02.2017 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S3 Februari 2017

Viongozi 28 wa Umoja wa ulaya wanaokutana leo hii kisiwani Malta, wanataka kuonyesha mshikamano wao mbele ya mizozo inayoutikisa Umoja wao// Afghanistan inadhibiti chini ya asilimia 60 ya nchi hiyo, baada ya mwaka jana vikosi vya usalama kurudi nyuma katika maeneo mengi waliyokuwa wakiyadhibiti// Ujerumani imeahidi msaada wa Euro Milioni 27 kufadhili mafunzo ya kiufundi kwa vijana nchini Kenya.

https://p.dw.com/p/2WtxK