02.12.2019 Matangazo ya Jioni | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 02.12.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

02.12.2019 Matangazo ya Jioni

Onyo latolewa kwa Climate Conference in Madrid/ Hali ya kisiasa nchini Tanzania > Mahojiano/ Kanisa Katoliki katika mkoa wa Kivu Kusini limetangaza hii jumatatu desemba 2 kuwa Siku ya maombolezo kutokana na mauaji ya kila leo yanayo fanyika mashariki ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo/ Ujerumani: Viongozi wapya wa chama cha Social democratic, SPD walichaguliwa> Mahojiano

Sikiliza sauti 60:00