1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

02.09.2018- Matangazo ya Mchana Saa 7:00 (Afrika Mashariki)

John Juma
2 Septemba 2018

Watu watatu wamethibitishwa kuuawa kufuatia shambulizi la bomu mjini Mogadishu-Somalia.// Wananchi wa Rwanda waanza kupiga kura mapema leo kuachagua wabunge.// Serikali ya Yemen imesema hakutakuwa na mazungumzo ya ana kwa ana kati ya pande zinazozozana nchini humo katika mazungumzo ya amani ambayo yameandaliwa na Umoja wa Mataifa mjini Geneva.

https://p.dw.com/p/34B1d