1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

02.07.2020 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S2 Julai 2020

Benki ya Dunia imeingiza Tanzania, Benin na Mauritania katika orodha ya mataifa ya Pato la Kati Chini na kufanya jumla ya mataifa 28 barani Afrika// Zaidi ya watu 40.000 waachwa bila makaazi Afrika Mashariki// Rais wa Urusi Vladimir Putin ameshinda katika kura ya maoni jana ambayo itamuwezesha kubakia madarakani hadi 2036 kwa mujibu wa mamlaka ya uchaguzi ya shirikisho la Urusi.

https://p.dw.com/p/3egZT