02.07.2020 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 02.07.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

02.07.2020 Matangazo ya Jioni

Makudi hasimu ya Palestina, Hamas na Fatah, hii leo yameonyesha umoja kupitia mkutano wa njia ya video, hatua ambayo ni ya nadra huku wakinuwia kufanya kazi pamoja dhidi ya mipango ya Israel ya kutaka kunyakua maeneo ya Ukingo wa Magharibi// Marekani na Afrika Kusini zimeripoti rekodi mpya ya maambukizi ya kila siku ya virusi vya corona.

Sikiliza sauti 60:00