1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

02.06.2021 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi

2 Juni 2021

Umoja wa Afrika umetangaza kusimamisha uanachama wa Mali baada ya kutokea mapinduzi ya kijeshi. Polisi ya Urusi imemkamata mkosoaji mwingine wa serikali ya rais Vladimir Putin. Wahamiaji wasiopungua 23 wamefariki dunia baada ya boti yao kuzama wakijaribu kuingia Ulaya.

https://p.dw.com/p/3uJi3