1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

02.06.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S2 Juni 2021

Isaac Herzog achaguliwa rais mpya wa Israel/Mataifa yaliyobakia katika mkataba wa nyuklia na Iran yanakutana leo mjini Vienna/Maseneta wa Urusi waidhinisha mswada wa kuwabinya wakosoaji/ Mali Yatolewa katika uawanachama wa Umoja wa Afrika/Serikali ya Ujerumani imeahidi kuendelea kutoa misaada kwa wakimbizi wa Burundi na Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo wanaohifadhiwa nchini Tanzania

https://p.dw.com/p/3uMjx