1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi Saa 12:00 (Afrika Mashariki)

John Juma
2 Juni 2018

Miongoni mwa yaliyomo ni pamoja na: Shirika la kimataifa la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch limesema serikali ya Syria inapitisha sheria ambazo zinairuhusu kuzitaifisha mali binafsi.// Je Marekani inaipiga chenga Pakistan katika mkakati wake mpya kuhusiana na Taliban?//Vijana wa Tanzania wanajifunza lugha za kigeni kujihakikishia maendeleo yao.

https://p.dw.com/p/2ypOZ