1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

02.06.2015 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S09S2 Juni 2015

Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Muungano unaopambana dhidi ya kundi la itikadi kali la Dola la Kiislamu utakutana Paris, Ufaransa leo Jumanne// Ujumbe wa Wabunge wa Ujerumani leo unaanza ziara ya siku kadhaa nchini Namibia wakati ambapo serikali ya Ujerumani inatakiwa iyatambue mauaji yaliyofanywa na askari wa kijerumani nchini Namibia mnamo mwaka wa 1904 kuwa ya kimbari

https://p.dw.com/p/1FaWE