1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

02.05.2019 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S2 Mei 2019

Tanzania- Aliekuwa mfanyabiasha mashuhuri, tajiri na mmiliki wa makampuni ya IPP Reginald Mengi amefariki dunia// Kansela wa Ujerumani Angela Merkel ameonya kuhusu hatari ya hali ya ugaidi inayoongezeka katika Ukanda wa Sahel Magharibi mwa Afrika// DR Congo- Mshauri wa zamani wa mpinzani Etienne Tshisekedi, baba wa rais wa sasa Felix Tshisekedi amependekeza kufanyike mazungumzo ya kitaifa.

https://p.dw.com/p/3HokN