02.03.2021 Taarifa ya Habari, saa 12.00 asubuhi | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 02.03.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

02.03.2021 Taarifa ya Habari, saa 12.00 asubuhi

Marekani yataka jamii ya kimataifa kuongeza shinikizo kwa jeshi la Myanmar/Marekani yaitaka Saudi kuvunja kikosi chake cha mamluki/Makamu wa Rais wa Zimbabwe ajiuzulu kufuatia kashfa za ngono/Guterres asikitishwa na kiwango kidogo cha msaada kuisaidia Yemen

Sikiliza sauti 07:59