Tunatumia 'cookies' ili kuboresha huduma zetu kwako. Maelezo zaidi yanaweza kupatikana katika sera yetu ya faragha.
Guterres asikitishwa na kiwango kidogo cha msaada kuisaidia Yemen/WHO yaonya juu ya kuweka matumaini yasio ya ukweli kuhusu kukamilika kwa Covid-19/Myanmar: Marekani yataka jamii ya kimataifa kuongeza shinikizo kwa jeshi la Myanmar
Tuma Facebook Twitter Whatsapp Web EMail Telegram Facebook Messenger Web
Kiungo https://p.dw.com/p/3q5AV
Umoja wa Mataifa unafanya mkutano kwa ajili ya kuwasaidia raia wa Syria.Umoja wa Mataifa utaziomba nchi wafadhili kuchangia kiasi cha hadi dola bilioni 10.
Yemen imeonya kuwa, hospitali nchini humo zinapaswa kujiandaa kwa wimbi la pili la virusi vya corona bila kusahau kuchukua hatua za kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya virusi hivyo.
Antonio Guterres ameonya juu ya kile alichokitaja kama "hukumu ya kifo kwa familia za Yemen" baada ya mkutano wa wafadhili wa kimataifa kupata chini ya nusu ya fedha zinazohitajika ili kuzuia baa la njaa nchini humo.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amekosoa vikali usambazaji wa chanjo dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 usiozingatia haki na usawa. Amesema mataifa 10 ndiyo yaliyotumia asilimia 75 ya chanjo hadi sasa.