1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

02.02.2016 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S2 Februari 2016

Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kwa Syria anatarajiwa kuishinikiza serikali ya Rais Assad iwapunguzie dhiki wakaazi wa Syria ili kufungua njia ya kuendelea na mazungumzo ya amani ya Geneva/ Hali nchini Uganda/ Shirika la WHO limeanzisha kitengo cha kimataifa cha kukabiliana na mripuko wa virusi vya Zika likielezea wasiwasi wake kuhusu ugonjwa huo kwamba unaweza ukaenea hadi barani Afrika na Asia

https://p.dw.com/p/1HoEL