1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

01.12.2022 Matangazo Ya Jioni

SK2 / S02S
1 Desemba 2022

Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Macron afanya ziara rasmi nchini Marekani/ Rais wa Rwanda Paul Kagame alitoa hotuba usiku wa kumkia leo ambayo kwa sehemu kubwa iligusia japo kwa mafumbo mvutano kati ya nchi yake na taifa jirani la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

https://p.dw.com/p/4KM5G